E-Chords
Adawnage

Uwezo(Chords)

Adawnage

Key: G#
Fm       D#  C#     G# 
Nilikua natafuta ukweli wa maisha yangu 
Fm  D#     C#     G# 
Sasa mie nauliza nianze wapi eh 
Fm  D#     C#     G# 
Marafiki wangu wote wamenikimbia 
Fm  D#     C#     G# 
Jehovah Nissi nalia nihurumie 

Chorus 
Fm  D# C# G# 
Nipe uwezo uwezo 
Fm  D# C# G# 
Wa kusimama imara juu ya neno lako 
Fm  D# C# G# 
Uwezo uwezo 
Fm  D# C# G# 
Wa kusimama imara juu ya neno lako 

Nilikua natafuta kipenzi cha roho yangu 
Sasa mie nauliza nianze wapi 
Maumivu machungu mengi yamenitazamie 
Jehovah Nissi nalia nihurumie 

Bridge 
Fm  D#/G A#m G# 
Oooaa ooaa ooaa hei hei 
Fm  D# C# G# 
Ooaa ooaa 

roll up this ad to continue

share this page

See Also: